Tunga Sentensi Ukitumia jina ....

Posted June 21, 2011 by in Humor Articles
Image Alt

Kenyans are the most creative lot. And yesterday I was laughing through and through thanks to some hilarious tweets from the TungaSentensi hashtag. The following are the ones that made my day. Credit to all the people who came up with these very hilarious sentences.

Tunga Sentensi Ukitumia ...

1) Siasa : Omondi, mudodo SI ASA lala

2) Ukurasa : Mwalimu aliandika kwa ubau uku rasa zikituangalia

3) Mutunga : Nani ali MUTUNGA naliaka mimba

4) Mapenzi : Kipaki na mapotikat wake walipita wakiendesha mapenzi kupwa kupwa.

5) Tobiko : Cheptoo, Lab TOB IKO?

6) Kahawa : Jana tulienda kusikiza wabunge huko uhuru park. Sijawahi ona wajinga ka hawa.

7) Chupi : Tukifa, tutaenda CHU PInguni

8) Sinai : Kwenu SI NAI, ni RONGA.

9) MKATE: AliaMKA TEne leo.

10) Maoni : Mwalimu usinichape kwa kuanguka. Hii MAO NI ngumu sana.

11) Basi : Chips funga hupatikana Bar si hoteli

12) Uterus : Hawker; "Ukiona kanjo u ter us."

13) Lucy Kibaki: Makanga nirudishie change loose ikibaki.

14) Matako : Putako yuko? (Hapana) Na Matako?

Which others have you heard?About the Author

Crazy Nairobian
Author Image

Sanely Insane.


Your Commentsblog comments powered by Disqus